TANZANIA (W) vs MALAWI (W) | Kocha wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Malawi, Lovemore Fazili, amesema kikosi chake kipo tayari kwa...

Jun 05, 2026 - 17:15
0 0
TANZANIA (W) vs MALAWI (W) | Kocha wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Malawi, Lovemore Fazili, amesema kikosi chake kipo tayari kwa...
TANZANIA (W) vs MALAWI (W) | Kocha wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Malawi, Lovemore Fazili, amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa marudiano wa kirafiki wa FIFA dhidi ya Tanzania utakaochezwa kesho Juni 6, 2026, akibainisha kuwa atafanya mabadiliko machache kwenye kikosi pamoja na kutumia mbinu tofauti ili kuongeza ushindani.

Fazili amesema licha ya kupoteza mchezo wa kwanza, ameridhishwa na kiwango kilichooneshwa na vijana wake, akieleza kuwa walicheza vizuri na kutengeneza nafasi za kutosha, lakini walikosa umakini katika kuzitumia.

Malawi ilifungwa goli 1-0 dhidi ya Timu ya Taifa ya Wanwake ya Tanzania (Twiga Stars) katika mchezo uliopigwa Juni 3, 2026 katika dimba la KMC Complex.

Mwandishi Katherini Shirima
Mhariri | @allymufti_tz

#TwigaStars #Malawi #TwigaStarsMalawi

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0