This content isn't available right now
TANZANIA (W) vs MALAWI (W) : “…Umuhimu wa kushinda mchezo wa pili upo…”.
Kocha msaidizi wa Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania (Twiga Stars), Edna Lema, amesema kikosi hicho kimejiandaa kikamilifu kwa mchezo wa pili wa kirafiki wa FIFA dhidi ya Malawi, kikilenga kuendeleza kiwango kizuri na kupata ushindi mwingine.
Edna amesema ushindi walioupata katika mchezo wa kwanza uliopigwa Juni 3, 2026, katika dimba la KMC Complex, hauwajafanya waridhike, akibainisha kuwa benchi la ufundi limebaini makosa kadhaa yaliyofanywa na wachezaji na kuyafanyia kazi mazoezini.
Kocha huyo ameongeza kuwa umuhimu wa kushinda mchezo wa pili upo, huku akisisitiza kuwa wachezaji wanatakiwa kuwa makini kuepuka makosa yanayoweza kuwakosesha ushindi.
Mwandishi Katherini Shirima
Mhariri | @allymufti_tz
#TwigaStars #Malawi #TwigaStarsMalawi
When this happens, it's usually because the owner only shared it with a small group of people, changed who can see it or it's been deleted.

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)