UNISOKA | Kampuni ya Imperial Marketing and Communication Ltd

Jun 05, 2026 - 17:15
0 0
UNISOKA | Kampuni ya Imperial Marketing and Communication Ltd
UNISOKA | Kampuni ya Imperial Marketing and Communication Ltd. (IMC) imezindua rasmi ligi mpya ya mpira wa miguu kwa vyuo vikuu inayojulikana kama UNISOKA, ambayo itashirikisha timu 32 kutoka vyuo vikuu vya Mkoa wa Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi huo, Jumanne Fadhili amesema Ligi hiyo itadumu kwa miezi sita na inalenga kuibua vipaji vya wanafunzi wa elimu ya juu, kuimarisha ushindani wenye nidhamu na kuunganisha wadau mbalimbali kupitia michezo.

Aidha amesema timu 32 zitagawanywa katika makundi manane yenye timu nne kila kundi, ambapo mashindano yataanza kwa hatua ya makundi kwa mfumo wa nyumbani na ugenini kabla ya kuingia hatua za mtoano na hatimaye fainali.

Mhariri | @rajjmsangi
#Unisoka

Comments (0)

User
đź”’
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

âś… HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
âś… MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
âś… KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
âś… KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
âś… KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0