Vijana zaidi ya 130 wanaoshiriki michezo ya soka katika tamasha la michezo wilayani Mvomero, wameeleza kuwa na matumaini mapya y...

Aug 20, 2026 - 17:15
0 1
Vijana zaidi ya 130 wanaoshiriki michezo ya soka katika tamasha la michezo wilayani Mvomero, wameeleza kuwa na matumaini mapya y...
Vijana zaidi ya 130 wanaoshiriki michezo ya soka katika tamasha la michezo wilayani Mvomero, wameeleza kuwa na matumaini mapya ya kuonesha vipaji vyao ambayo walikuwa hawana sehemu ya kuvionesha na kuziishi ndoto zao.

Tamasha hilo la michezo limeandaliwa na Mbunge wa jimbo la Mvomero, Sara Msafiri huku lengo likiwa kuibua na kuendeleza vipaji vya michezo kwa vijana pamoja na kuimarisha mahusiano na jamii.

Mbunge huyo anasema kupitia tamasha hilo wapatikane akina Samatta.

#Tamasha #Michezo



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0