FOUNTAIN GATE vs MASHUJAA: Kocha wa Mashujaa, Amani Josiah amesema kikosi chake kimekamilisha maandalizi na kiko tayari kimbinu ...

Aug 17, 2026 - 12:15
0 0
FOUNTAIN GATE vs MASHUJAA: Kocha wa Mashujaa, Amani Josiah amesema kikosi chake kimekamilisha maandalizi na kiko tayari kimbinu ...
FOUNTAIN GATE vs MASHUJAA: Kocha wa Mashujaa, Amani Josiah amesema kikosi chake kimekamilisha maandalizi na kiko tayari kimbinu na kiufundi kwa ajili ya kuikabili Fountain Gate katika mchezo wao wa NBC Premier League.

Kwa upande wake mchezaji wa timu hiyo, Haroun Lyawatwa amesema wanafahamu kuwa wana deni kwa mashabiki wao, hivyo wamejipanga kupambana kwa nguvu zote ili kuhakikisha wanapata matokeo mazuri katika mchezo huo.

Mechi itapigwa kesho Agosti 18, 2026; na itakuwa LIVE #AzamSports1HD kuanzia saa 10:00 jioni

#NBCPL #LigiKuuYaNBC #FountainGate #MashujaaFC #FountainGateMashujaaFC



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0