VIWANJANI: “Naona Fountain wanaweza kuleta upinzani.”

Aug 18, 2026 - 14:15
0 0
VIWANJANI: “Naona Fountain wanaweza kuleta upinzani.”
VIWANJANI: “Naona Fountain wanaweza kuleta upinzani.”

Mchambuzi wa soka @iddynonga_ ametoa mtazamo wake kuelekea mchezo wa NBC Premier League kati ya Fountain Gate na Mashujaa unaochezwa leo Agosti 18, 2026.

Nonga anaamini makocha wa timu zote mbili wana falsafa zinazofanana hasa katika uwezo wa kubadilika kulingana na aina ya mchezo.

Amesema anasubiri kuona majibu ya kiufundi atakayokuja nayo kocha Fred Felix “Minziro” katika mchezo huo.

Mchezo huu utakuwa LIVE #AzamSports1HD kuanzia saa 10:00 jioni

✍ @katty_shirima
Mhariri | @allymufti_tz

#Viwanjani



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0