VIWANJANI: “wanaenda kucheza na timu ambayo kupishana sio shida yao!”

Aug 18, 2026 - 14:15
0 0
VIWANJANI: “wanaenda kucheza na timu ambayo kupishana sio shida yao!”
VIWANJANI: “wanaenda kucheza na timu ambayo kupishana sio shida yao!”

Mchambuzi wa soka @godlisten_muro7 akitazama mchezo wa Fountain Gate dhidi ya Mashujaa,amesema Fountain Gate wana kibarua kizito leo kwa kuwa wanakutana na Mashujaa ambayo imebadilika kimtindo chini ya kocha wao Amani Josiah.

Muro anaamini mabadiliko hayo yanaifanya Mashujaa kuwa timu tofauti na ambayo Fountain Gate wanaweza wasipate chochote kama hawatabadilika.

✍ @katty_shirima
Mhariri | @allymufti_tz

#Viwanjani



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0