VIWANJANI: "JKT Tanzania ilimpa Simba mechi ya kiwango ambacho huenda ikakutana nacho Novemba 29..."

Mchambuzi wa soka @godlisten_muro7 anachambua kwa mtazamo wa kiufundi mbinu na mifumo iliyotumiwa na makocha wa timu hizo mbili katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Novemba 21, ambapo Simba SC iliibuka na ushindi wa magoli 2-1.
Muro amesema ushindani na presha iliyokuwepo katika mchezo huo viliilazimu Simba kutumia nguvu kubwa na kubadilika kimfumo na kimkakati ndani ya uwanja ili kupata matokeo.
Ameeleza kuwa mpango wa mchezo wa JKT Tanzania uliiweka Simba kwenye presha, hali ambayo ni faida kwa Wekundu wa Msimbazi kuelekea michezo yao ijayo.
Ni kupitia kipindi cha #Viwanjani kinachoongozwa na @van_msumi
✍ @katty_shirima
Mhariri | @allymufti_tz
#Viwanjani #AzamSports
(Feed generated with FetchRSS)

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)