VIWANJANI: "Ni spirit ya wachezaji kutamani kushinda mataji..."

Nov 23, 2026 - 11:15
0 0
VIWANJANI: "Ni spirit ya wachezaji kutamani kushinda mataji..."
VIWANJANI: "Ni spirit ya wachezaji kutamani kushinda mataji..."

Mchambuzi wa soka @juma_abdul_12 anasema siri ya mafanikio ya Simba kwa sasa inaanzia katika viwanja vya mazoezi, ikichagizwa na hamu ya kila mchezaji kutaka kufanya vizuri na kuisaidia timu hiyo kutwaa mataji.

Ameongeza kuwa ushindani huo pia unawapa wachezaji nafasi ya kuonesha uwezo wao zaidi na kujitangaza kupitia kiwango wanachokionesha uwanjani.

Ni kupitia kipindi cha #Viwanjani kinachoongozwa na @van_msumi

✍ @katty_shirima
Mhariri | @allymufti_tz

#Viwanjani #AzamSports



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0