VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @godlisten_muro7 , akizungumzia kuahirishwa kwa mechi mbili za FIFA za timu ya taifa ya Tanzania (T...
VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @godlisten_muro7 , akizungumzia kuahirishwa kwa mechi mbili za FIFA za timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), amesema wadau wa soka wanapaswa kutazama hatua hiyo kama tahadhari inayolenga kulinda maslahi ya timu na kuhakikisha maandalizi yanafanyika katika mazingira bora zaidi.
Ameeleza kuwa nyakati nyingine maamuzi ya aina hiyo huwa ni muhimu katika ulinzi wa taifa na afya za wananchi wake.
Mwandishi Katherini Shirima
Mhariri | @abuuyusuftz
#Viwanjani
Ameeleza kuwa nyakati nyingine maamuzi ya aina hiyo huwa ni muhimu katika ulinzi wa taifa na afya za wananchi wake.
Mwandishi Katherini Shirima
Mhariri | @abuuyusuftz
#Viwanjani
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI β NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
β
HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
β MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
β KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
β KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
β KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
β MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
β KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
β KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
β KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)