VIWANJANI: “Nyenzo kubwa zaidi iliyosababisha kikosi cha Serengeti Boys kufanya vizuri ni uzoefu...”

Mchambuzi wa soka @leomusikula_tz amesema kuwa mafanikio ya Serengeti Boys yametokana na uzoefu waliopata wachezaji kupitia mechi mbalimbali walizocheza hapo awali.
Mchambuzi huyo ameeleza kuwa Shirikisho la Soka Tanzania(TFF) limechangia kwa kiasi kikubwa mafanikio hayo kupitia uwekezaji wake katika maendeleo ya soka la vijana, jambo ambalo limeongeza ubora na ushindani wa timu hiyo.
Imeandikwa na Katherini Shirima
Mhariri | @abuuyusuftz
#Viwanjani

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)