KAGERA SUGAR vs FOUNTAIN GATE | Kutoka kwenye utulivu wa asili wa Kagera wa Kyamunene Waterfalls and Caves , hadi kwenye mvutano...

Sep 13, 2026 - 12:15
0 0
KAGERA SUGAR vs FOUNTAIN GATE | Kutoka kwenye utulivu wa asili wa Kagera wa Kyamunene Waterfalls and Caves , hadi kwenye mvutano...
KAGERA SUGAR vs FOUNTAIN GATE | Kutoka kwenye utulivu wa asili wa Kagera wa Kyamunene Waterfalls and Caves , hadi kwenye mvutano wa soka la NBC Premier League.

Ni Kagera Sugar vs Fountain Gate katika dimba la Kaitaba, Kagera.

Mechi ni saa 1:00 usiku na itakuwa LIVE #AzamSports1HD

@wastara24 anatupitisha katika maeneo ya kihistoria ya Manispaa ya Bukoba katika pango la Kyamunene eneo ambalo viongozi wa taifa hili walilitumia kupanga mipango ya kivita.

🎥 @salum_van_gollo

✍ @rajjmsangi

#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0