KARIAKOO DERBY KUPIGWA AGOSTI 12: Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema msimu mpya wa wa mw...
KARIAKOO DERBY KUPIGWA AGOSTI 12: Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema msimu mpya wa wa mwaka 2026/27, utaanza rasmi Agosti 12 kwa mchezo wa Ngao ya Jamii utakaowakutanisha mabingwa wa NBC Premier League na Mshindi wa CRDB Bank Federation Cup.
Karia amesema uamuzi wa kuchezwa kwa mchezo mmoja pekee wa Ngao ya Jamii umetokana na mbanano wa ratiba ya mashindano, tofauti na ilivyokuwa awali kwa kuhusisha timu nne.
✍ @katty_shirima
Mhariri | @allymufti_tz
#TFF #AzamTvSports
(Feed generated with FetchRSS)

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)