YANGA NA MAKOMBE YAO: YANGA SC: Meneja wa Kidijiti wa Yanga SC, @privaldinho amesema wakosoaji wa klabu hiyo wanaipa nguvu zaidi...
YANGA NA MAKOMBE YAO: YANGA SC: Meneja wa Kidijiti wa Yanga SC, @privaldinho amesema wakosoaji wa klabu hiyo wanaipa nguvu zaidi kupitia changamoto wanazozieleza na maeneo yanayohitaji kuboreshwa.
Privaldinho amesema Yanga ilipitia kipindi cha kushuka kidogo ukilinganisha na msimu uliopita, lakini hali hiyo haijapunguza ubora wala uwezo wa klabu hiyo kuendelea kushindana na kutimiza malengo yake ya msimu.
✍ @katty_shirima
Mhariri @rajjmsangi
#YangaSC #azamsports
(Feed generated with FetchRSS)

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)