KOMBE LA DUNIA 2026: Mchambuzi wa soka, @hinjojr , aizungumzia timu ya taifa ya Ghana, ambayo tayari imewasili nchini Marekani, ...
KOMBE LA DUNIA 2026: Mchambuzi wa soka, @hinjojr , aizungumzia timu ya taifa ya Ghana, ambayo tayari imewasili nchini Marekani, kwa ajili ya kuanza maandalizi ya mwisho kuelekea ushiriki wake katika michuano ya Kombe la Dunia 2026.
Hinjo amesema moja ya majukumu ya kocha wa timu hiyo Carlos Queiroz, ni kuwaaminisha wadau na mashabiki wa soka kuwa Ghana bado ni timu imara yenye uwezo wa kufanya vizuri katika Kombe la Dunia, licha ya nyakati walizopitia miaka ya hivi karibuni.
Mwandishi Katherini Shirima
Mhariri | @abuuyusuftz
#FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV #MechiZote104LiveAzamTV

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)