KOMBE LA DUNIA | Baadhi ya wachambuzi wakizungumza kuhusu uzito wa jambo hili… jambo lenyewe ni Azam Media kupata haki ya kuones...

Jun 05, 2026 - 17:15
0 0
KOMBE LA DUNIA | Baadhi ya wachambuzi wakizungumza kuhusu uzito wa jambo hili… jambo lenyewe ni Azam Media kupata haki ya kuones...
KOMBE LA DUNIA | Baadhi ya wachambuzi wakizungumza kuhusu uzito wa jambo hili… jambo lenyewe ni Azam Media kupata haki ya kuonesha mechi zote 104 za Kombe la Dunia 2026.

Mbwaduke anasema “..Kombe la Dunia lipo Azam Media”, akitaja mambo mawili kuwezesha jambo hili, ambayo ni uwekezaji na ushawishi.

Zuberi GeOrge Mkalaboko anasema hii ni sawa na “nyama ya mifupa kubebwa kwenye gazeti, siyo kitu cha kawaida”.

Kwa upande wake Zaka Zakazi anakumbushia enzi za “kupanga foleni kwa Sheikh Yahya” wakati Bemelengo akizungumza umuhimu wa mabadiliko.

Michuano ya #FIFAWorldCup2026 itaanza Juni 11 hadi Julai 19, 2026 na kuruka LIVE kupitia chaneli za #AzamSports

✍️ @amosimasokotz

#FWC26 #FIFAWorldCup #WeAre26 #FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV #MechiZote104LiveAzamTV

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0