Photos from AzamSports's post
UGENI KUTOKA NMB BANK: Pichani ni Mkurugenzi wa Uhusiano wa Wawekezaji, Uendelevu na Mawasiliano, wa Benki ya NMB, Innocent Yonazi, (katikati) akiwa na wenyeji wake Afisa Mtendaji Mkuu, Divisheni ya Maudhui na Utangazaji, wa Azam Media, Patrick Kahemele (wa kwanza kushoto), pamoja na Meneja Mwandamizi wa Azam Media, Fatma Mohamed.
Timu ya Benki ya NMB ilitembelea Makao Makuu ya Azam Media, Tabata Dar es Salaam, leo Juni 5, 2026, ikilenga kukuza ushirikiano pamoja na kujifunza namna Azam Media inatekeleza majukumu yake.
(Imeandaliwa na @allymufti_tz)
#UgeniAzamMedia #NMB

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)