SPORTS AM |“Mkoa wa Dar es Salaam kuna wachezaji wazuri,”

Sep 13, 2026 - 12:15
0 0
SPORTS AM |“Mkoa wa Dar es Salaam kuna wachezaji wazuri,”
SPORTS AM |“Mkoa wa Dar es Salaam kuna wachezaji wazuri,”

Mwenyekiti wa Chama cha Soka Dar es Salaam, Lameck Nyambaya, akieleza mipango ya chama hicho katika kuendeleza na kuimarisha soka la wanawake.

Nyambaya amesema chama hicho kimekuwa kikitoa mafunzo na kuendesha semina mbalimbali kwa lengo la kuongeza uelewa na kuboresha maendeleo ya soka la wanawake.

Aidha, amesema Kamati ya Mashindano ya chama hicho imeandaa ligi ya mashule, ambayo inalenga kutoa fursa kwa vijana kuonyesha vipaji vyao na kusaidia kubaini wachezaji wenye uwezo kutoka shule mbalimbali.

✍ @rajjmsangi

#SportsAM #AzamSportsFederationCup



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0