UGENI KUTOKA NMB BANK: Pichani ni Mkurugenzi wa Uhusiano wa Wawekezaji, Uendelevu na Mawasiliano, wa Benki ya NMB, Innocent Yona...

Jun 05, 2026 - 17:15
0 0
UGENI KUTOKA NMB BANK: Pichani ni Mkurugenzi wa Uhusiano wa Wawekezaji, Uendelevu na Mawasiliano, wa Benki ya NMB, Innocent Yona...
UGENI KUTOKA NMB BANK: Pichani ni Mkurugenzi wa Uhusiano wa Wawekezaji, Uendelevu na Mawasiliano, wa Benki ya NMB, Innocent Yonazi, (katikati) akiwa na wenyeji wake Afisa Mtendaji Mkuu, Divisheni ya Maudhui na Utangazaji, wa Azam Media, Patrick Kahemele (wa kwanza kushoto) na Afisa Mwendeshaji Mkuu, Yahya Mohamed (aliyevaa kanzu).

Timu ya Benki ya NMB ilitembelea Makao Makuu ya Azam Media, Tabata Dar es Salaam, leo Juni 5, 2026, ikilenga kukuza ushirikiano pamoja na kujifunza namna Azam Media inatekeleza majukumu yake.

(Imeandaliwa na @allymufti_tz)

#UgeniAzamMedia #NMB

Comments (0)

User
πŸ”’
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI β€” NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

βœ… HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
βœ… MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
βœ… KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
βœ… KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
βœ… KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0