YANGA vs MC ALGER: “Ndoto zetu kufika hadi fainali”

Nov 27, 2026 - 23:15
0 0
YANGA vs MC ALGER: “Ndoto zetu kufika hadi fainali”
YANGA vs MC ALGER: “Ndoto zetu kufika hadi fainali”
Kocha wa Yanga SC, Fadlu Davids anasema wanafahamu kuwa wapinzani wao MC Alger wana uzoefu mkubwa na mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika lakini pia wanahitaji kuvuna alama tatu za nyumbani.

Kwa upande wake mchezaji Stephane Aziz Ki anasema yeye na wachezaji wenzake wamejipanga kuhakikisha wanaonesha ubora na kupata alama tatu kesho Novemba 28, 2026.

Naye Kocha Karim Delhoum wa MC Alger anasema wanajua Yanga ina uzoefu kwenye mashindano haya, lakini wao pia wana uzoefu zaidi ya wapinzani wao.

Mchezaji wa MC Alger Mossi Ndumumwe naye ametoa neno kuelekea mechi hiyo.

Mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakuwa LIVE #AzamSports2HD kuanzia saa 10:00 jioni

✍️ @allymufti_tz
#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0