Familia ya #AzamTV imeongezeka…

Jun 04, 2026 - 01:15
0 0
Familia ya #AzamTV imeongezeka…
Familia ya #AzamTV imeongezeka…

Hivi ndivyo familia mpya ya #AzamTV ilivyopokelewa mapema leo Juni 3, 2026, Makao Makuu, Tabata Dar es Salaam.

Timu hii utaanza kuisikia na kuiona kuanzia Juni 11 mpaka Julai 19, 2026.

Wenyeji wao walikuwa viongozi wa Azam Media, wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu, Divisheni ya Maudhui na Utangazaji, Patrick Kahemele pamoja na Afisa Mwendeshaji Mkuu, Yahya Mohamed.

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#FamiliaYaSokaIpoAzamTV

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0