YANGA SC | Kikosi cha Yanga SC kinaendelea na mazoezi kujiandaa na mechi tano za mwisho za Ligi Kuu ya NBC kikianza kuivaa Mashu...
YANGA SC | Kikosi cha Yanga SC kinaendelea na mazoezi kujiandaa na mechi tano za mwisho za Ligi Kuu ya NBC kikianza kuivaa Mashujaa FC Juni 13 mwaka huu katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe, ameeleza hali ya kikosi na matarajio yao ya michezo ijayo.
Mhariri | @rajjmsangi
#YangaSC #NBCPL
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe, ameeleza hali ya kikosi na matarajio yao ya michezo ijayo.
Mhariri | @rajjmsangi
#YangaSC #NBCPL
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)