VIWANJANI | '' hautakuwa mchezo mwepesi'', Mchambuzi wa soka, @michaelhyera_ akitoa mtazamo wake kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya ...

Sep 15, 2026 - 14:15
0 0
VIWANJANI | '' hautakuwa mchezo mwepesi'', Mchambuzi wa soka, @michaelhyera_ akitoa mtazamo wake kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya ...
VIWANJANI | '' hautakuwa mchezo mwepesi'', Mchambuzi wa soka, @michaelhyera_ akitoa mtazamo wake kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya NBC unaokutanisha Matajiri wa Jiji, Azam FC dhidi ya Wekundu wa Msimbazi, Simba SC.

Anasema Simba ana nafasi ya kuingia kwenye mchezo kwa kasi kutokana na kasi ya mpinzani ingawa kwa Azam FC wanaweza kuuanza mchezo kwa kuhakikisha hawaruhusu nafasi kwa mpinzani wao.

Mzizima Derby ni kesho Septemba 15,2026 Azam FC vs Simba SC saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports1HD

✍ @rajjmsangi

#Viwanjani #SimbaSC #AzamFC



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0