YANGA vs GEITA GOLD: Kocha wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi amesifu uwezo wa Kocha Zuberi Katwila wa Geita Gold huku akiongeza kuwa...

Sep 14, 2026 - 13:15
0 0
YANGA vs GEITA GOLD: Kocha wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi amesifu uwezo wa Kocha Zuberi Katwila wa Geita Gold huku akiongeza kuwa...
YANGA vs GEITA GOLD: Kocha wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi amesifu uwezo wa Kocha Zuberi Katwila wa Geita Gold huku akiongeza kuwa mwalimu huyo huwa habadili sana kikosi chake japo hubadili muuondo wa uchezaji.

Kocha Manqoba amezungumzia namna Kocha Katwila alivyowapanga wachezaji wake kwenye mechi dhidi ya Simba huku akimtaja Libasse Gueye.

Kocha huyo anasema wachezaji wake wanatengeneza nafasi nyingi za kufunga lakini hazitumiki ipasavyo na hapo wanapaswa kufanyia kazi.

Kwa upande wake beki Mohamed Hussein Zimbwe, anasema wameitazama Geita Gold wameangalia mazuri yao na mapungufu yao watayafanyia kazi.

Mechi ni kesho Septemba 15, 2026 saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports1HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0